1 Chronicles 16:24-26

24 aTangazeni utukufu wake katikati ya mataifa,
matendo yake ya ajabu miongoni mwa mataifa yote.
25 bKwa kuwa Bwana ni mkuu,
mwenye kustahili kusifiwa kuliko wote;
yeye ni wa kuogopwa kuliko miungu yote.
26 cKwa maana miungu yote ya mataifa ni sanamu,
lakini Bwana aliziumba mbingu.
Copyright information for SwhNEN